Thursday 2 June 2011

Maneno Katika Kiswahili - Tuhitaji Wanafunzi

Nilifikiri itukuwa kitu ya kizuri kama nitaandika katika kiswahili.

Siku moja nataka kuenda Tanzania na hubiri, na naamini 'practice makes perfect'!

Tutapoangalia juu ya dunia hizi, tunafikiri kuna makanisa mengi, jina la bwana ikiwa kutaja katika mataifa wote, halafu tunafikiri kuna revival. Lakini Mungu anataka zaidi - sitaki mahali au jina tu, bali wanafunzi.

Yesu akamwambia wanafunzi wake 'kufanya wanafunzi kutoka mataifa'. Wazo ni nyongeza. Kama tutaangalia na hatuangalia lazima kwa wanafunzi, tutapoteza moyo ya injili. Mataifa haitakuwa kushinda bila wanafunzi - ufalme wa Mungu sijengi juu ya majengo lakini juu ya watu.

Kupa maisha wenu kwenye kujenga watu katika Mkristo.

No comments:

Post a Comment