Friday 4 November 2011

Ni Pigano

Tutaposema juu ya vitu vya Shetani lazima tunafahamu ni pigano.

Upande wa sisi kuna nguvu, na upande wa yey kunu nguvu. Kama Shetani atatumia nguvu yake lazima tutatumia nguvu yetu pia. Iko kama Kenya na Somalia sasa - KDF vs. al-Shabaab: Shetani anatamani moto hapa au mlipuko huko kwa kushtua sisi, lakini Biblia inasema pigano si wetu, ni pigano wa Mungu - anaweza kuleta nguvu zaidi, hata nguvu wa Roho Mtakatifu kushinda matendo ya Shetani.

Sasa wanajeshi wa Kenya wanapiga, wanakamata. Tutaomba kwa wanajeshi wa Kenya na kuruhusu sisi kuomba kwa sisi na pigano yetu kwenye ufalme wa Shetani. Najua hii - itakuwa ushindi.